Kwa wale wote wenye matatizo ya kufika kileleni

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Kama Una Mpenzi na hafiki Kileleni, na unajua
hafiki, Je unafanya nini ili umpe raha hii ya
Pekee??
Na wewe ambaye hujui hata kileleni ni wapi
unadhani ni kituo cha Taxi Buguruni, hujui
amefika au hajafika, ni kosa la Jinai kutokumridhisha mpenzi wako,wataka jua nini
cha kufanya??
Je, Una Mpenzi hakufikishi na hafanyi Jitihada za
kutaka kujua atakufikishaje, na unatamani
akufikishe ila unaogopa kumwambia kwamba
hakufikishi kwa kuogopa kuonekana Malaya?? NJOONI PM TULONGE....
N.B
Kama una ubavu wa kujianika hapa basi ruksa kujilipua, then utasaidiwa hapahapa tu,
 
naona umeamua kutuchukulia warembo zetu sasa.. huko pm utawakoli mpk wavutike maana wameshaona kufika kileleni he he he! sijui tu
 
naona umeamua kutuchukulia warembo zetu sasa.. huko pm utawakoli mpk wavutike maana wameshaona kufika kileleni he he he! sijui tu
Hahaha wasiwasi wako tu, mbona wamekuja wengi na kama wataamua kutoa feedback watasema, na hakuna hata mmoja aliyetongozwa? Jiamini shekhe!! Hahah
 
Aisee unadhani umefika nyegezi stand kumbe bado upo mzani usagara.
emmyta
Mmh sijui njia ya pm ni wapi au nibaki hapa hapa nipate maujuzi kimya kimya kama usser
Kumbe hadi wewe hufiki kileleni alafu unaogopa kuuliza??
Usiogope bhana uliza tu
 
Wajilipue kama Steve Nyerere,unajua STUNTER kuna vitu nyengine ni taabu sana kusema hata PM unakua mzitoooo yani wezi sema kabisaaa..

 
Wajilipue kama Steve Nyerere,unajua STUNTER kuna vitu nyengine ni taabu sana kusema hata PM unakua mzitoooo yani wezi sema kabisaaa..

Wengi wamekuja PM na nimewasaidia kadri ya uwezo wangu na wameridhika(thoug siwezi kuwaanika), so labda wanaogopa Public lakni kama kuna swali lolote kuhusu climax watu wengeuliza tu
 
Back
Top Bottom