OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,472
- 11,367
Habarini wakuu,
Tutafakari kidogo,
Mara nyingi umuhimu wa kitu hujulikana pale kinapotoweka
Ndugu zangu tutambue umuhimu wa kile tulicho nacho kwa sasa .
katika maandiko matakatifu tunaambiwa kuwa SHIKILIA SANA KILE ULICHO NACHO*
Je??? ni vitu gani hasa. ...???
Ni hivi hapa chini
1. Kazi uliyonayo
2. Miladi uliyonayo
3.Mtu anayekusaidia
4.Mzazi au mlezi wako
5.shule au chuo (masomo)
6.MUME au MKE WAKO
7.Watoto wako
8. MUNGU wako
Mara nyingi watu hudharau na kujisahau wanapo kuwa nacho, Baada ya kukipoteza kile walicho nacho majuto na hudhuni hutawala.
NENO NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI (Baada ya kupoteza kile ulicho nacho)
Ni rahisi sana kuli prove hili jambo..
Achilia kile ulicho nacho,
Mfano muache Mume wako (kwa wanawake) wasio kuwa nacho wakimdaka UTAISOMA NAMBA.
Kama uliwahi kupitia majuto au wakati mgumu katika moja ya sababu nilizozitaja hapo juu basi share nasisi kwa pamoja hapa.
Ahsanteni .