Titty
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 571
- 912
Leo katika pita pita zangu instagram nkakutana na barua refu kama shuka la kikoloni kutoka kwa Faiza Ally mwanamke alioza na mbunge wambeya mjini Mbilinyi a.k.a Sugu. Akilalamika sugu kutomjali mototo
Mambo yakwanika mahusiano wenu kwenye media nikujichoresha. Kweli inaumiza sana mwanaume kuzalisha nakukuacha.
Najua bila kipingamizi sugu alikua anampenda sana huyu mwanamke namtoto lakini Kwanika mambo nje na mkutukana kwamba mf**rji mara ana kibamia nakuonyesha ubabe pamoja na kujizalilisha kama kuva chupi vilimkera huyu jama.
Mimi naona mapenzi ni bayina yawatu wawili, hakuna mwanaumme mwenye akili timamu anaweza kumtupa mtoto wake kama huja mtukana na kumzalilisha. Au umefuata mashart. Sasa unamtukana alaf unataka msaada wake inakua ngumu kurudi nyuma sugu sio munyama kiasi hicho lakini jinsi unavyo mhando inatia hasira kutupa boga namaua yake. WHAT TURNS INTO HATRED WAS NEVER LOVE. Kwahyo wanawake naomba tusiwe wakali endapo umeazlishwa nakuwachwa just sit down ujichunguze ulikosea wapi hata kama ukipata mwengine anaweza kukuwacha kwasabubu hiyohiyo. Mi naamini ukitulia nakuongea nae kwaupole bila hasira atarudi tu. Bado naendelea kusema globalisation imetwalibu