Sababu huwa ni nini mpaka hisia za mapenzi kukata

Swali gani sasa!!!


Wewe ukilaga ugali huwa hufikii kipondi ukashiba


Ukishiba unafanya kaz zingine unasubiri njaa

Unataka uwe na njaa tu muda wote hata kama unakula ili usishibe?
 
mkuu sio hisia tuu, ukikaanae kwa muda bila kumtokea ,ukijamtokea hakubali , atakataa ,nahsi ushafanya hivyo ndo mama hisia zimeisha
 
Back
Top Bottom