habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Habari zenu wakuu,
Ktk maisha yangu sikuwahi kumpenda mtu kivile ktk safari ya mahusiano, ila wakati huu imekuwa tofauti hata kuhisi kuwa huenda nimepatwa na ugonjwa wa mapenzi.
2015 nilibahatika kukutana na mtu mmoja hivi, nilitokea kumpenda mno hadi sasa ni miaka miwili bado anazunguka kichwan, ukweli nampenda hata kuugua, nimejaribu kumtoa ktk kichwa changu wapi, napata tabu sana, hadi najichukia.
Nahitaji kumsahau, nifanye mambo mengine
Asanteni