Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 390
- 702
Good day wakuu,
Nimetokea kujenga urafiki wa karibu na msichana mmoja hivi, ni mzuri tu na nimevutiwa naye, tumekuwa kwenye contacts kama mwezi mmoja hivi.
Tatizo linakuja pale ninapotaka kumtongoza ili uhusiano wetu uongezeke mapana nakuwa kama na uwoga fulani hivi kwamba anaweza kuona ni mda mfupi.
Hivi hapo naweza kufanya nini, nimuambie tu ninachojisikia kuhusu yeye or niendelee kungoja? Nyinyi wenzangu huwa mnafanyaje?