Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,106
jirani yangu mmoja yuko na mkewe wote wanafanya kazi kituo kimoja cha mafuta kama pump attender na walikutania hapo2 kazini wakawa wachumba na baadae mke na mume
kama mnavyojua hizi kazi zina shift na wao walikuwa wakiingia shift moja, sasa hivi karibun Boss wao kapangua shift yan mume akiingia usiku mke anaingia asubuh wanafanya kupishana kazini
namna hii jaman mnakaa kujadili mambo ya familia sa ngap, si ndio mwanzo wa kupata kishawishi cha michepuko, yani huwa nawazaga tu mume akiingiaga usiku akatoka asbh ule mchana wote huwa anawaza nini wakati mkewe yupo kazin na yeye karudi kupumzika
mbona kama kuna watanzania bado wanaishi kipindi cha wakoloni sababu ya kutafuta kipato