Venance Peter
Member
- Oct 22, 2016
- 23
- 20
Nina umri wa miaka 23 sasa, sijawahi kufanya mapenzi tangu nizaliwe, na sina tatizo lolote. But, nina hisia kama kawaida na nasimamisha pia. Najua hapa Kuna watu wengi wenye ufahamu juu ya hili.
Je kuna hatari yoyote inaweza kunikuta baadae? Sihitaji matusi wala kuzalauliwa, kama huwezi kutoa ushauri, unaweza kupita tu.
Nahitaji ushauri wenu,
Je kuna hatari yoyote inaweza kunikuta baadae? Sihitaji matusi wala kuzalauliwa, kama huwezi kutoa ushauri, unaweza kupita tu.
Nahitaji ushauri wenu,