Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
utafiti mdogo nilioufanya umenipa majibi kwamba vijana wengi waliomaliza masomo yao na kukaa mtaani bila ya kuwa na ajira kwaajili ya kujikimu mahitaji yao, sasa wamebuni mbinu mpya!
Vijana hawa tegemeo la kesho wameamua kujiingiza katika utegemezi mpya
Wengi wanatafuta majimama na wanawake wengine wenye kipato hivyo wao kazi zao inakuwa ni kihakikisha wanatoa mgegedo wa kutosha na unaridhisha in return kijana anakuwa anatunzwa kipesa na kila hali kwa kipindi hiki cha mpito!
Hii njia sio salama japo vijana wengi wa mjini ndio wameponea hapo!
Sijui hali za vijana hawa kiafya zitakuwaje maana wengi wanaopenda kuwafanya vijana marioo afya zao pia huwa sio safi
Umarioo ni janga jipya kwa sasa hali ndivyo ilivyo kwa graduates huku wakisubiri ajira waweze kujikimu