Unafanyaje kujizuia kufanya mapenzi na mkeo /mmeo kipindi hiki cha kwaresima?

Mkuu mmhu hilo mm kwangu mpya aisee kwahiyo siku zote usifanye. Ngoja tumuulize Babu paroko Asprin atueleze
Mme na mke ni mwili mmoja... chochote chema ukifanyiacho mwili wako kipindi cha kwaresma ni kheri....

Kama unaoga, unanawa, unapiga mswaki, unanyoa nywele basi na vingine vyote ambavyo si dhambi ni ruksa kwako.

Tendo la ndoa ni tendo takatifu. Ila uzinzi na uasherati ni machukizo na dhambi mbele za Mungu.

Kwaresma unaruhusiwa kufanya tendp takatifu la ndoa... Ila uzinzi na uasherati ni DHAMBI!!

Nadhani umenielewa mkristo mwenzangu.
 
Thanks Mkuu nadhan wamekuelewa sasa Tajirimsomi
 
Mme na mke ni mwili mmoja... chochote chema ukifanyiacho mwili wako kipindi cha kwaresma ni kheri....

Kama unaoga, unanawa, unapiga mswaki, unanyoa nywele basi na vingine vyote ambavyo si dhambi ni ruksa kwako.

Tendo la ndoa ni tendo takatifu. Ila uzinzi na uasherati ni machukizo na dhambi mbele za Mungu.

Kwaresma unaruhusiwa kufanya tendp takatifu la ndoa... Ila uzinzi na uasherati ni DHAMBI!!

Nadhani umenielewa mkristo mwenzangu.
ahaaaa tendo takatifu? Wewe paroko hujui mfungo huu tunaacha vitu vyote tunavyopenda?
 
Tendo la ndoa halipendwi... tendo la ndoa ni wajibu... kama ilivyo kuoga na kupiga mswaki...

Hivi unajua ukifanya tendo la ndoa... wakati unafikia mshindo (mwanamke) malaika wanasimama na kupia makofi kushangilia kumpongeza mwanaume??

Hapa nazungumzia tendo la ndoa, sio Uzinzi wala uasherati.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu
Ila
Imeandikwa wapi???? Mzee

jje's unaijua hii????
 
Back
Top Bottom