Habari zenu wana janvi.., katika dunia hii hakuna palipoandikwa ni sehem gani unaweza kupata mke au mme., bali ni sehem yeyote unaweza kupata mwenza wa maisha yako ya hapa dunian.Kuna watu walikutana kwenye daladala,kanisani, mkutanoni., nk. Mim nimeona nije huku kutafuta mwenza maana umri sas unaruhusu. Nahitaji bint mwenye umri kuanzia 20 mpaka 27 na awe serious na maisha na elimu aanzie form six. Umri wangu ni miaka 35 elim degree na kazi yangu ni mfanyabiashara..., dini awe mkiristu mwenye hofu ya Mungu na awe anatokea kanda ya ziwa.