Kama hii inakuhusu basi chukua ikusaidie

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Kabla hujafungua domo lako na kuanza
kumtongoza na kummwagia Sera zako na ahadi
zako nyingi kama Ilani ya CCM jifunze kwanza HOW
TO SATISFY HER.
Kama wewe ni Lawyer huwezi kuthubutu kuapply kazi ya Civil Engineer..
Hataweza kuchora ramani
kwa vifungu vya Katiba wala kuchanganya Zege
kwa Jurisprudence...
Wanaume wengi mnajua sana
kutamka neno I love You lakini Ujuzi
hamna.
Maadam Afande Abdala Kichwa wazi yupo
na unaitwa Mwanaume basi unahisi umemaliza.
Mapenzi ni Sanaa..Mapenzi ni
Vionjo..
Mapenzi ni Sayansi..Kazi kubwa ya
Mwanaume sio Kukoroma na kutoa
kibesi,
Mwanaume rijali ni yule mwenye Uwezo wa
Kumsatisy Mwanamke,akakata Kiu
yake,
akatosheka na Kucheua Mahaba.
Jifunze kwanza ndio uje uombe ku-practice...
Hata
madereva huenda Driving School ndio wanaomba
leseni, huwezi kukurupuka tu na kuomba Leseni, ili
umuendeshe nani???
Ndio Maana wengi wenu Mapenzi hamjui, Mnarukia
tu wanawake wa watu kama unadandia Bodaboda, unahema,dakika 10 chali,
HALAFU NA
WEWE UNAJIITA MWANAUME. Mwanamke anarudi
kwake kama alivyokuja.Jiandae Kusaidiwa
 
Sasa nikomae we! saa zima kisa!
Nisije nikajifanya najua kukomoa friction izidi tutoke michubuko tuambukizane VVU bure!

Hata ikiwa dakika tano nikimaliza nageukia pembeni huko
 
Siku hizi pesa tu zinatongoza,maneno meengi kama redio mbao mfukoni mtupu ni sawa na kelele za wapiga debe stendi. heshima pesa,shikamoo kelele tu.
 
ila hubby wangu kasema yote ya kweli, utakuta jianaume linajisifu sifu tu lakini hakuna kitu, acha matendo yaseme na sio maneno duuuh.

Thanks for letting them know all this. BTW unatakiwa utoze kodi kwa haya maujuzi yote unayotoa humu maana ni shule tosha kabisa.

then ukishapewa hivyo vipacenti uje tupange what to do with them
 
Uje naye bhn mi nikifika nimalize tuu..

Nisije nikaenda kujichanganya
hapana shem, mm nakupa tu tips wewe utamaliza hayo mengine kwa muda wako.

loooh unataka nije na kisu na nyama pia? haiwezekani
 
Back
Top Bottom