Mume wa hiari maana yake nini?

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,328
Mume au mke wa hiari ni mtu wa aina gani? Anakuwa vipi kwa vigezo gani mpaka kuwa wa hiari?

Msaada tafafhali.

Asante
 
Mume wa hiari
Maana yake, mwanaume aliye muoa Hiari.
Sija juja kama hilo jina la Hiari linatumika na wote wanaume kwa wanawake kama lina tumika kwa wote .
Mke wa Hiari ni maana yakae, mwanamke aliye olewa na Hiari.

Mbona simple tuu, sawa na kusema Mke wa Bashite.
 
Mume wa hiari
Maana yake, mwanaume aliye muoa Hiari.
Sija juja kama hilo jina la Hiari linatumika na wote wanaume kwa wanawake kama lina tumika kwa wite .
Mke wa Hiari ni maana yakae, mwanamke aliye olewa na Hiari.

Mbona simple tuu, sawa na kusema Mke wa Bashite.
umenikosha sana kwwa hill jibu mkuu
 
Mume wa hiari
Maana yake, mwanaume aliye muoa Hiari.
Sija juja kama hilo jina la Hiari linatumika na wote wanaume kwa wanawake kama lina tumika kwa wote .
Mke wa Hiari ni maana yakae, mwanamke aliye olewa na Hiari.

Mbona simple tuu, sawa na kusema Mke wa Bashite.
Your brain is as your name! Frozen
 
Back
Top Bottom