Niliachana naye sasa hivi anadai ana mimba yangu

Hacon

Member
Nov 13, 2015
63
23
Mambo vp wanaJF,

Naombeni ushauri nifanyaje kwasababu niliachana na msichana na sasahivi ameniambia ana mimba yangu na mimi nishaanzisha uhusiano na mwanamke mwingne na nampenda sana.
 
Baada ya kukwambia nawe ukaamini kabisa. Ukagonga ngozi safi kabisa.

Muda gani umepita toka ule kipochi manyoya?
Ila unazngua, "ngoz saf kabsa"duu
Ila wat nahs alfanya makusud coz alkuwa anadai mm cmpend kama zaman na anahs nna mwanamke mwngne!!
 
Nkpga mahesabu,n yangu coz inamiez mi3 sasa!
Mkuu, hiyo mimba kama ni yako basi huna budi kuilelea mpaka pale Mungu atakapowajalia mtoto huku mkishirikiana kumlea.

Haina maana kwamba umuache huyo mpenzi wako maana huyo mwenye mimba mlishaachana naye. Ila kwa sababu ya malezi ya mtoto ingependekeza kama mngekuwa wote.

Lakini, nikuulize Swali. Je, una hakika kabisa kuwa hiyo mimba ni yako? Kuna tabia ya baadhi ya wasichana kuwabambikizia watu mimba ili umhudumie katika kipindi chote cha ujauzito kisha baada ya hapo anakuchana ukweli kuwa mimba haikuwa yako na utaachwa solemba. Kwa hiyo ninachokushauri kuwa makini sana.
 
Ila unazngua, "ngoz saf kabsa"duu
Ila wat nahs alfanya makusud coz alkuwa anadai mm cmpend kama zaman na anahs nna mwanamke mwngne!!
Kosa ulilofanya wewe ni kuamini kwamba yupo safe days.

La pili inawezekana pia alikutega ili apate baba wa mtoto.

Tafakari chukua hatua.

Ila kitanda hakizai haramu wahenga wanasema
 
Mkuu, hiyo mimba kama ni yako basi huna budi kuilelea mpaka pale Mungu atakapowajalia mtoto huku mkishirikiana kumlea.

Haina maana kwamba umuache huyo mpenzi wako maana huyo mwenye mimba mlishaachana naye. Ila kwa sababu ya malezi ya mtoto ingependekeza kama mngekuwa wote.

Lakini, nikuulize Swali. Je, una hakika kabisa kuwa hiyo mimba ni yako? Kuna tabia ya baadhi ya wasichana kuwabambikizia watu mimba ili umhudumie katika kipindi chote cha ujauzito kisha baada ya hapo anakuchana ukweli kuwa mimba haikuwa yako na utaachwa solemba. Kwa hiyo ninachokushauri kuwa makini sana.
Enx bro mayb itabd niielee 2 sna ujanja maana nmebak namwonea huruma tu!!
 
Kwanini mliachana kwanza?
Cha kwanza,hatak nshke smu yake,aktaka yangu nkkataa anasema nna mwanamke mwngne
2,Tulshndwana tabia,i guess hakutaka kuwa mkwel kwangu coz alkuwa msiri sana kuna v2 nlkuja jua kuptia wa2 wengne hakuwa tayr kunambia chochote
 
Kosa ulilofanya wewe ni kuamini kwamba yupo safe days.

La pili inawezekana pia alikutega ili apate baba wa mtoto.

Tafakari chukua hatua.

Ila kitanda hakizai haramu wahenga wanasema
Sawa bro bas ntalea 2
 
Back
Top Bottom