Natamani kupata rafiki kutoka JamiiForums

Mbuty

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
411
237
Hlw, natumai mko wazima.

Napenda kupata marafiki humu, watu ambao ni matured kifikra na mambo mengine. Umri wangu ni 31, jinsia (Me), muajiriwa&mjasiliamali. Nazungumza kiswahili&kingereza fasaha. Katika muda wa ziada/nje ya majukumu napenda Kuogelea, Kusafiri, Kusoma vitabu, kusikiliza muziki na kubadilishana mawazo.

Kama unatamani kuwa na rafiki wa aina hii, tafadhari karibu. Unaweza nitumia ujumbe (pm) kwa ajili ya kuweza kupata mawasiliano. Asanteni.
 
Mungu akutangurie ktk utafutaji wako
 
Mpango wako WA kutaka kuvumbua Id za watu umefeli kwangu,itakuwa unawasaka wanaochangia sana kuhusu swala LA uvamizi fulani Shilawadu..
Wapate hao hao
 
Yaani wewe upo humu tokea 2011 hujapata tu marafiki!???
nilitaka kuuliza the same question but thanks Paprika kwa kunisaidia. aje tu na majibu sahihi na aseme huo urafiki ni wa aina gani kwa mfano ili tujiweke kwenye usalama zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom