Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,274
- 25,322
Wakuu habari zenu,
Naandika hivi kwa uchungu! Maana nimeona yaliyomkuta dada mmoja.
Dada huyo aliolewa akiwa na mtoto wa kike sasa siku zikaenda mtoto akakua akaanza kidato cha kwanza.
Pia alibahatika kupata na mwingine wa kiume na baba huyo.
Dada huyo anasema siku moja alisafiri kikazi kwenda mkoani.
Huku nyuma akamuacha mumewe, watoto na mfanyakazi.
Dada huyo anasema nyumba yao ni kubwa, hivyo kila mtoto ana chumba chake na dada wa kazi pia chake.
Anasema aliporudi akakuta mwanae hana raha kabisa, akamuuliza veepee!
Mtoto alimficha na kumwambia anaumwa, sasa ili ajue yote akamuuliza dada wa kazi, dada akasema alisikia baba akiingia chumba cha mtoto huyo na alichungulia na kukuta anambaka.
Yani dada huyo amechanganyikiwa hana la kufanya.
Nimeumia sana, nikaona niwajulishe wanawake wenzangu. Wanaume wengine wana tamaa.
Siku hizi hata watoto wa kiume huharibiwa si wa kike tu.
Tuwe makini!
Nawasilisha