Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, Dunia ina mambo na vijimambo,nina binti ambae mnamo mwaka 2005 nilikuwa nae kimahusiano wakati huo nilikua nauza genge yy alikuwa amemaliza la 7 basi akaniambia amefiwa na wazazi wote...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
[SIZE=3]Wadau, Nimerudi kama nilivyowaahidi yule binti niliyemsomesha kuanzia form 1 na kufika Bachelor, kisha kuajiriwa UN niliyemgharamikia kwa kuuza genge la mboga na matunda kisha kusema...
2 Reactions
73 Replies
10K Views
Inashangaza kuna wanawake wa zama hizi za digitale bado wana swaga hizi za kumzungusha mwanaume kwa mda mrefu before hajamkubalia, mnataka kuvumbua nini haswa? Unadhani ukimzungusha mwanaume kwa...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Dada mmoja jamani bosi wa crdb walomsambazaga picha za wazi bado yuko kazini kuna mjomba anafungua benki anaitaji wachapajob anipm
1 Reactions
18 Replies
15K Views
Wadau hii ni copy and paste kama ilishakuja humu mniwie radhi Alafu hamjuagi kuwakalisha waume home. Hahahahaha. Siku uko home wewe amka anza makeke jikoni. Mara blenda priiiii juice ama milk...
3 Reactions
58 Replies
11K Views
Kati ya mtoto wa kiume na wa kike, ni yupi ambaye huwa anatoa sana huduma na kuwajali wazazi wake pindi akishakuwa mkubwa na ana mafanikio kimaisha? Majibu yenu katika hili ndiyo yatanifanya...
-1 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu. Miaka kama 12...
176 Reactions
682 Replies
77K Views
Mimi ni mjane abt 55 yrs. Miaka 5 sasa. Nakosa raha nakuwa mpweke nasononeka sana. Mbaya zaidi sina job wala mradi wowote. Naombeni msaada/ushauri
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakuu husikeni na somo hapo juu, Mimi ni HR Business partner wa shirika moja kubwa hapa Tanzania, kazi yangu ni ku manage personnel, kuajiri na kufukuza Miezi mitano uliyopita tuliajiri staff 40...
12 Reactions
344 Replies
32K Views
Kwa kweli siku hizi sijui nini kimewapata hawa mabinti wetu, wanazaa tu bila ndoa yaani siku hizi binti kumbebea mimba mpenzi/mchumba wanaona kawaida wengi wao wakiwa wanachuo. Ukitembea mtaani...
8 Reactions
117 Replies
10K Views
Wakuu heshima kwenu, Leo hii tumetimiza miaka 9 ndani ya ndoa, naona fahari sana. Maana wengi wameshidwa kuhimili na kuvumiliana, bado nampenda my wife. Glory be to GOD. Na kesho miaka 4 member...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa dada zetu wa kitanzania nahisi wana laana yaani wadada wa siku hizi wanafanya mambo ya ajabu ajabu kiasi kwamba unaweza kujikuta umeua bila kutarajiwa yaani unamhudumia kila kitu...
4 Reactions
81 Replies
10K Views
Waziri kijana wa serikali ya awamu ya nne, inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, katika Wizara nyeti, hivi karibuni amefanya kinyaa baada ya kufumwa akifanya ngono na mke wa rafiki yake ndani ya...
2 Reactions
92 Replies
19K Views
Habari wadau°°°°°°°°°° Im a 25yrs old mvulana, nina demu mpya ambae 2na mda wa miez miwili tu, nilmpata kupitia mitandao ya kijamii (FB) Baada ya kuwa karbu nae kupitia chating and open...
1 Reactions
86 Replies
16K Views
Habari muda huu wapendwa wa jukwaa pendwa la MMU. Awali ya yote ningependa kuwashukuru kwa kuwa ninyi ni moja ya ndugu zangu ninaowathamini na kuwaheshimu haswa kimawazo na kiushauri. Ngoja...
4 Reactions
110 Replies
15K Views
Ni kidonda kikubwa cha hisia, lakini nimemudu kukiponyesha na sasa limebaki kovu tu ambalo halina mauamivu kwangu. Kidonda hiki cha kihisia kilitokana na mkwaruzo ulioanzia kwenya familia yetu...
33 Reactions
178 Replies
26K Views
Mapenzi haya bhana, aaghh vijana wangu haya songi hilo hapo, unapiga mkwara kwenye simu!! Put your sweet lips a little closer to the phone Let's pretend that we're together, all alone I'll tell...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu wengi hivi sasa wameshaumizwa sana kwenye mahusiano mpaka wengine wamejenga chuki, kinyongo,hisia za kisasi dhidi ya wanaume au wanawake wote ulimwenguni. kutokana na matukio hayo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima...
11 Reactions
211 Replies
22K Views
Kuna kesi nimeletewa na rafiki yangu wa karibu sana kuhusu mahusiano yanayoendelea kati yake na mpenzi wake, hivyo anaomba ushauri kutoka kwangu. Kaniambia kuwa katika mahusiano yao, wamedumu kwa...
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…