So lonely

So lonely

mamitod

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
914
Reaction score
385
Mimi ni mjane abt 55 yrs. Miaka 5 sasa. Nakosa raha nakuwa mpweke nasononeka sana.
Mbaya zaidi sina job wala mradi wowote.

Naombeni msaada/ushauri
 
Pole sana haswa hapo kwenye ukosefu wa job au mradi. I can imagine standard ya life ilivyo.
 
mamitod

Kukosa raha....kuwa mpweke....kusononeka and likely! Financial problem ....kuomba ushauri kwenye jukwaa la mapenzi....ngoja nigoogle ushauri nitarudi!
 
Last edited by a moderator:
Mamitod naomba nije kwa PM yako, manake nimechoka na hivi vibinti vidogo nadhani tutafaana sana "mdogo mdogo"
 
Hakuna kitu kibaya kama kuingia kwenye mahusiano kutafuta furaha. Unapaswa kuingia kwenye mahusiano ukiwa na raha zako na maisha yako, la sivyo utam-drain tu huyo mwenza. Jisort kwanza. Una elimu gani? Unaweza kufanya biashara gani?
 
Njoo pm unipe full details nna mtu yuko lonely yawezekana ikawa pair yenu
 
Ukazaa una miaka 18 mtoto wako nae akazaa ana miaka 18 wewe ukiwa na 36 mjuku akazaa ana 18 wewe ukiwa na 54 nawaza mbali.
 
Back
Top Bottom