Waziri wa JK afumwa akifanya ngono garini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa JK afumwa akifanya ngono garini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nurujamii, Mar 7, 2009.

 1. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Waziri kijana wa serikali ya awamu ya nne, inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, katika Wizara nyeti, hivi karibuni amefanya kinyaa baada ya kufumwa akifanya ngono na mke wa rafiki yake ndani ya gari...


  Chanzo cha habari kilisema kuwa, tukio hilo la aibu kwa Waziri huyo, mwenye mke na watoto wawili, lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye maegesho ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar es Salaam, jirani na nyumbani kwake, ambapo mheshimiwa alibambwa ‘laivu’.

  Awali ilidaiwa kuwa, Waziri huyo bonge, mwenye nywele ndefu, amekuwa akiwalipa walinzi wa ‘pakingi’ hiyo kiasi cha shilingi elfu tano kila anapotia timu mahali hapo kwa lengo la ‘kugandamiza malavidavi’.

  Kilisema miongoni mwa askari hao kulikuwa na mjeshi mgeni ambaye alikuwa hajui ‘gemu’ hilo la mheshimiwa hivyo kulibumburua kirahisi kufuatia kutojua juu ya mshiko unaotolewa na kigogo huyo kwa walinzi wenzake.

  Chanzo hicho kilidai kwamba, Waziri huyo mzoefu wa migogoro ndani ya chama chake, alifika katika eneo hilo la tukio kwa kutumia gari ndogo aina ya RAV 4 yenye vioo vyeusi, ambapo iliegeshwa kwa muda mrefu, jambo lililosababisha askari huyo aliyekuwa hajui ‘dili’ kwenda kuangalia kulikoni!

  Ilidaiwa kuwa, baada ya mlinzi huyo kumkurupusha mheshimiwa huyo katika maraha na mke wa mshkaji wake, aliondoa gari hilo kwa kasi, na kuondoka katika eneo hilo baada ya kugundua watu wameshtukiwa kamchezo kake kachafu.

  Gazeti hili lilikwenda eneo la tukio kwa lengo la kupata ‘a-z’ ya ‘ishu’ hiyo, ambapo kwa mujibu wa mmoja wa walinzi hao, ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini, alikiri kuisikia skandali hiyo kwa maafande wenzake, huku akionesha kuwa na woga mkubwa katika kuizungumzia.

  “Nimesikia kwa jamaa zangu hapa lakini huyo Waziri nasikia ni mtu mkatili sana, kwa hiyo hata mimi namuogopa,” alisema mlinzi huyo huku akimtaka Mwandishi kuondoka eneo hilo.

  Aidha, alipotwangwa swali juu ya ukweli kuwa mheshimiwa huyo siku ya tukio alikuwa na mke wa rafiki yake, afande alisema: “Ni kweli mwanamke huyo ni mke wa mshkaji wa kigogo huyo na mara kwa mara hutinga naye hapa hotelini”.

  Gazeti la Risasi - Jumamosi
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nyani,
  By elimination tum-identify ni waziri gani kijana mwenye nywele ndefu aliye katika wizara nyeti?
   
 3. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sio Nchimbi huyu kweli?
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Aaah! ana minywele mirefu? Yuko wizara gani nyeti? Tena mkali!
   
 5. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2009
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  minywele mirefu dar? kama anaishi msituni eboo!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Udaku unapohamia JF kazi kweli! Hii ina maslahi ya taifa jamani?
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks... ila imekaa ki-UVCCM kama kipindi kile cha uchaguzi na source yake pia yan'tia shaka mie - RISASI? Kaazi kwel' kweli

  Lets hope that we get more reality to sort out pumba na n'chele
   
 8. n

  nzala Member

  #8
  Mar 8, 2009
  Joined: Dec 24, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hii habari imekaa kiudaku mno.hapa tunajadili issues,we are not discussing people.In short hapa si mahali pake kama motto ya JF inavyosema "the home of great thinkers"
   
 9. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2009
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Samahani wakubwa kwa kuibandika hapa! MoD ipeleke kule kwenye celebrities!
   
 10. 3

  3 kids Member

  #10
  Mar 8, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana nzala kwa kuwakumbusha watu kuwa hii si sehemu ya udaku big up.
   
 11. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2009
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama binadamu kuna kupitiwa. I am sorry! Ipelekwe kule kwenye celebrities corner!
   
 12. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kwanini tunasahau kuwa habari inayomhusu kiongozi anayetuongoza ni ya kisiasa? Kama masanja au Juma wangekutwa na sakata hii, habari kama hii ingepelekwa kwenye udaku. Lakini kwa kuwa inamhusu kiongozi mwenye dhamana kwanini isiwekwe hapa? Naona hapa ni mahali pake, lakini kama si ukweli basi ipelekwe kwenye udaku.
  Du Cabinet yetu kweli kiboko.
   
 13. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Towards October 2010, hizi ndiyo habari zitakazotawala masikio ya wapiga kura na kusahau issues za msingi. Baadae tutakuja kuulizana hapa yule amepitaje kwenye ubunge?
  Huu ni wakati wa kuwaelimisha wananchi kujua na kuzitumia haki zao na si udaku
   
 14. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
   
  Last edited: Mar 9, 2009
 15. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
   
  Last edited: Mar 9, 2009
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kheeeeee heeeeee heeee...eeeh!
   
 17. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  MI nadhani hapa kuna ishu mbili:
  1) Private life ya waziri - who-is-screwing-who level. huu ni udaku na kweli hauna maana katika mjadala wa kisiasa, ingawa ina kaji-dimension ya personality na integrity ambayo kwa mfano katika siasa ya Marekani inakusababishia matatizo makubwa na mwisho wako kisiasa look at John Edwards. Imagine screwing your friend's wife - now that is even worse!
  2) The coverup - hii ndo siku zote intersting and becomes political. Kama ilivyokuwa kwa Bill Clinton! Hapa naona dalili zote za coverup zinazohusisha: rushwa, tishio kwa wananchi. Now that is very relevant politically! Hii si kuteleza mara moja kwa mheshimiwa because tunaambiwa imeshakuwa mazoea, so nadhani ni vyema tukajaribu kupata uhakika wa habari na kujua ni waziri yupi maana hafai kuwa na dhamana kubwa ya uwaziri. He is having an ego trip!
   
 18. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #18
  Mar 8, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Huu ndio ubovu wa nchi yetu. Tutasema ni udaku, udaku mpaka yataisha. Huyu waziri hafai kabisa. Ingekuwa nchi za wenzetu angestaili ku resign lakini sio nchini kwetu. Na hao walinzi, bado wanakazi kweli? Inasikitisha sana.
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nasuburi kusikia gazeti likitakiwa kumlipa milioni 500 kwa ajili ya kumkashifu badala ya yeye kutuachia ofisi yetu tutafute mtu mwingine.

  Lakini kitu hiki ni kidogo sana kwa wabongo ndo maana wanaita udaku! Yaani waziri ambaye anatakuwa kuongoza wizara nyeti na kuletea maendeleo anakwiba wake za watu, sisi tunameza mate tu!! Kama hii habari ni kweli basi hatuna ujanja. Niliwahi kusema kuwa hapa Bongo mtu akiwa kiongozi anakuwa na haki zote ikiwemo access kwa wake zetu, mama, dada na hata binti zetu!

  Namkumbuka sana Brother Ditto (RIP) kwamba ukifumaniwa ndo dunia yote inakujua kuwa wewe ni mwamume kweli!!!
   
 20. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Atatakiwa kujiuzulu ikiwa jina lake na kajike kyarafikie vitaanikwa na kuthibitishwa na takukuru .
   
Loading...