Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF. Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi. yeye ni form4 na mimi...
0 Reactions
138 Replies
13K Views
Jaman wana jf, mwenzenu nashangazwa na tabia za dada zetu wa leo. Nakumbuka miaka ya nyuma kukubaliwa ilikua shughuli, utahangaika mpaka ukome, tena akikubali unakua na kazi ngumu ya kumshawishi...
4 Reactions
154 Replies
19K Views
Naomba tu muje muniambie ,maana nilishawahi nikuta hili unamuuliza mtu wewe kwnini bado unawasiliana na huyu mwanamke akati ulishasema umeachana naye miaka mingi anakwambia ''mwanamke haachwi...
6 Reactions
102 Replies
9K Views
Wakuu naombeni ushauri jamani,nipo ktk mikakati ya kumtafuta msichana ambaye baadaye atakuja kuwa mke.... Kuna msichana ambaye tulisoma woote huko kilimanjaro na alikuwa dem wangu kipindi hiko ila...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki...
4 Reactions
13 Replies
755 Views
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500. Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5. Tulipendana...
7 Reactions
204 Replies
21K Views
Hey! Don't be excited.. Leo tunasherehekea kuzaliwa kwa mmoja wetu ambaye pia figure muhimu sana Katika jamii.. Happy Birthday MMAHE Na kwa uzuri ni raha tena coz leo ni Mwaka wake wa Pili...
9 Reactions
110 Replies
11K Views
Aise kuna watu wa ajabu sana hii karne ya 21! Lets say ulikua bafuni unaoga, ulivyotoka ukakuta missed call kama 4 hivi kutoka kwa mshkaji wako, ulipotaka kumpigia ukakuta huna salio ikabidi...
16 Reactions
167 Replies
15K Views
Habari wajamvi. Kama mjuavyo haya masuala ya mapenzi, nimeona vyema kufungua uzi huu ili kuweza kujadili kwa marefu sana matatizo ya mahusiano kuvunjika. Swali, kwanini uliachana nae na kwa nini...
1 Reactions
407 Replies
57K Views
kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu , Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa...
13 Reactions
164 Replies
8K Views
Wakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao. Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, tupeane uzoefu kwa walio wahi kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na wanawake waliosoma sheria Mapungufu yao yapo wapi🤔 Je mwanamke akipata kazi hawezi kunisaliti na kutaka wenye elimu...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Wana jamvi, Kuna hiki kitabia ka FWB(Friendship With Bennefit) naona kazidi kuota mizizi, siku hizi imekua kama fassion ya marafiki wa jinsia tofauti kua na uhusiano wenye faida kimwili, sasa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo nusura nitapike katika daladala.., Kama unavyojua tarehe hizi za katikati ya mwezi ni uhaba..., Imenibidi nitumie usafiri wa umma..., Tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko...
19 Reactions
188 Replies
20K Views
Wakuu, Kuna staff hapa kwenye shirika letu ni mke wa mtu ameshikwa live akifanya mapenzi na jamaa mmoja hivi ambae ni mume wa mtu pia ofisini bahati mbaya aliewashika ni bosi wao ambae ni Raia...
9 Reactions
177 Replies
21K Views
Heshima mbele wanajamvi, Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu...
6 Reactions
84 Replies
12K Views
Wadau, Nimerudi na taarifa rasmi kuhusu yule Muuza genge mwenzangu aliefumaniwa na mke wa mtu na kisha kuamka asubuhi yupo flat heshima ya ndoa yake {Dushe} imechukuliwa kimazingara na mwenye...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Washika dau kwema, Kuna jamaa yangu amekuwa akihisiwa anatembea na wake za watu tupo nae tunauza nae genge, hapa sasa jana mwenye mali kashtukia mchezo kamfanyia mambo. Jamaa leo hajafungua...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau, Dunia ina mambo na vijimambo,nina binti ambae mnamo mwaka 2005 nilikuwa nae kimahusiano wakati huo nilikua nauza genge yy alikuwa amemaliza la 7 basi akaniambia amefiwa na wazazi wote...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Back
Top Bottom