Hivi kuna sababu gani za kupost/kuweka picha za watoto wetu mitandaoni? utakuta wa kike kawekwa na maneno ya kumpamba kama
beautiful/cute/queen/mrembo wangu.
Wakiume: HB/ Prince /kidume changu...
Kwanza nipende kuwapongeza mno na kuwasifia sana wale woote ambao huzifanya bedroom zao sehemu za kuvutia mno, ambapo hata mwenzi wako aingiapo pamoja na uchovu wote hupata mandhari tofauti na...
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya...
Habari za leo wapendwa,
Hii story nimepewa na swahiba wangu ambae anafanya kazi na kuishi Dar, nitampa jina la Samson katika story hii. Samson ana umri wa miaka 35+ hajaoa, ni mfanya kazi katika...
ilikua saa sita na nusu mchana siku ya Ijumaa......nipo nyumbani baada y akutoka kufundisha Tuisheni mbali kidogo na nyumbani........unaikumbuka likizo ya Mkapa enzizile ukimaliza form 6 unakaa...
Wakuu,mimi nina tatizo moja,chumba changu ni self{yani kina choo na bafu humo humo}tatizo ni kwamba,huwa siwezi kukata gogo mbele ya mpenzi wangu,lakn mwenzangu yeye naona hata huwa hajali,anaweza...
Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa...
By: Msela wa Kitaa (Senior)
Twende polepole... Hebu fikiri hivi: Demu anakutana na jamaa anayejua kuvaa, ana kazi, ana ka-swag, hata hajui kama huyo jamaa analala gesti au anaishi kwa shangazi...
Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri.
Lakini...
Jamani hali ni tete tuna harusi bajeti yake 16 M, shughuli bado mwezi mmoja kuna cash, Laki 7, watu hawahudhurii vikao ni wanne au watano, kila mtu anatoa hudhuru amebanwa na shughuli fulani...
Habari wapendwa katika bwana,
Nimeishi na mke wangu kwa miaka mitano tukiwa na amani na furaha, lakini upendo ulianza kulegalega kuanzia mwaka jana mwezi wa kumi na mbili pale ambapo uume wangu...
Ni kawaida kukutana na mtu mwenye meno ambayo yameharibika rangi kwa kubadilika kutoka kuwa meupe na kuwa ya kahawia huku ambapo chanzo kinatajwa kuwa aina ya maji ambayo mtu huyo amekua...
Wakuu,
Kuna utafiti nimeufanya ambao umenishangaza kidogo, wanawake wengi wakipenda kulala upande wa ukutani wa chumba.
Sasa nimekosa majibu yenye kueleweka yanayowafanya wao wapende kulala...
Yawezekana kweli hawataki kuikailia ila pia yawezekana yenyewe ndio haitaki kukaliwa hivyo ukiona siti iko wazi usikurupukie .
Mganga anakwambia atakupa utajiri wa mabilioni jiulize kwanza...
Mini huwa nakerwa sana na mademu ambao huwa wana act kuongea broken English wakati wa kufanya mapenzi, kwanini ?
Kwani hamfahamu kuwa mimi nimekupenda wewe kama wewe na hiyo rafudhi yako ya...
Katika jamii yetu hivi sasa kuna namna wanawake huwa wanapotoshwa kwa kile huitwa wanawake wanaweza kufanya chochote sawasawa na Mwanaume.
Ukweli mchungu ni kwamba Mwanamke hata akiwa...
Habari zenu
Nimefanya kazi ya uganga kwa miaka mingi, kazi hii imenipa kula, nimejenga nyumba tatu, Dar 2 na Mwanza moja, ila sina amani ya roho, na sipati hela kama zamani nimekuwa natamani...
Wakuu,
Kuna huyu mama wa makamo ana 51 kwa sasa, kuna kazi ya matibabu nilimfanyia, huwa anasumbuliwa sana na mgongo, na mimi ni Herbalist, nina kijifrem changu Mwanza ambapo nafanya shughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.