Miaka 9 ndani ya ndoa, miaka 4 JF

Miaka 9 ndani ya ndoa, miaka 4 JF

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Wakuu heshima kwenu,

Leo hii tumetimiza miaka 9 ndani ya ndoa, naona fahari sana. Maana wengi wameshidwa kuhimili na kuvumiliana, bado nampenda my wife. Glory be to GOD.

Na kesho miaka 4 member JF. ID moja, ban hazifiki 4 na kila wakati nipo humu humu, si mchezo.
 
Hongera mkuu. Wengine tutaingia ndoani ukifikisha miaka 18 ya ndoa.

Hongera kwa miaka 4 ya JF subiri utatumiwa zawadi..
 
Asante wote mlionipa hongera
 
hilo la ID nakataa, invizibo mwenyewe anazo 9, wewe moja uwe nani...
 
we uliwahi kuja na thread ya kulalamika mkeo anaropoka na kukukemea hovyo kisa yeye ana elimu zaidi yako
 
Wakuu heshima kwenu,

Leo hii tumetimiza miaka 9 ndani ya ndoa, naona fahari sana. Maana wengi wameshidwa kuhimili na kuvumiliana, bado nampenda my wife. Glory be to GOD.

Na kesho miaka 4 member JF. ID moja, ban hazifiki 4 na kila wakati nipo humu humu, si mchezo.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom