suppose una mpenzi wako but hajakutambulisha kwa ndugu yake yeyote then mkaachana..ameoa kabisa
miaka imepita umekutana na ndugu yake kabisa kabisa baba mmoja mama mmoja yupo serias kabisa...
Niende moja kwa moja kwenye mada, kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani. Kuna bi mkubwa flani ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri...
Habari ya muda huu!
Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.
Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.
Yule dada namfahamu, lakini...
Habarini wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Yani hawa wanawake wa hivi wanakuwaga wagumu sana kufika Kilimanjaro sababu kwanza wanamaumivu makubwa ya mapenzi.
Pia wengi wao ni masingle mama...
Naamin mpo good wadau,
Leo nlikua kijiwen na wajuba tunapiga piga story ya mambo za Hamza, mara story zikahama mpaka kwenye minyaduano maana kuna dada bonge bonge alipita kijiweni akaharibu...
Hi sio story mpya, Ni habari ya zamani Sana, mwanzoni mwa mwaka 2000.
Zama hizo nikiwa shababi haswa, early 20's, nilikuwa na marafiki wengi sana niliokuwa nikisoma nao shule ya sekondari ya juu...
Haswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs...
Kwa niliyo yaona mtaa niliotoka.
1. Huyu mmama wa kwanza mwanae ni mshikaji wangu nilisoma nae mafundisho, mama ni mjane, mwana alimfuma mama yake anagongwa home na kijana mdogo. Jamaa alimpiga...
Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na...
Kwema Wakuu!
Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo.
Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa...
Wakuu,hamjambo.
From deep of my heart na bila kuathiri kifungu chochote cha katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huwa siipendi ile harufu ya asili ya K. yani huwa nahisi hadi kutapika...
Siku hizi imezuka tabia ya mijimama kupendelea vijana zaidi ya wazee. Unakuta mjimama unapita barabarani [emoji23] na kijana ambaye wametofautiana hat miaka 20 lakini yupo comfortable na kamuacha...
Hili jina linatrend sana hapa jijini ni nilikuja jambo hili kugundua jambo hili ni kubwa baada ya kuona makamu wa rais naye kuwaonya wasipende mashangazi kwanini vijana wanapenda watu wazima...
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba, nikapata mimba akawa amefurahi sana. Basi tukakubaliana tukaweka mikakati yetu.
Tulikuwa tunaishi mkoa moja mimi nikapata kazi mkoa...
Habarini wana JF,
Nataka niulize hii kitu, Juzi wakati narudi maeneo fulani ilikuwa kama
saa 7.30 hivi usiku nilisikia kelele kwenye nyumba moja ambayo iko
kama mita 500 kutoka nyumbani kwangu...
Kwanza niombe radhi kuwa sina nia ya kumnyanyapaa mtu yeyote kwa jinsia yake, rangi yake, kabila lake wala dini yake.
Nimekua nikiona hii dhana ya kuwapo kwa mikosi inayotokana na kulala na...
Za sa hivi ndugu zangu.
Wengine tumekuja Dar kwa sababu imetokea tuu na sio wenyeji.
Najua kuna watu wapo Dar enzi zile bahari ipo hadi buguruni au kabla chips hazijaja na wengine tumekuja juzi...
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
Wapo wanaodhani ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.