Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau nawasalimu Uhusiano wangu na mchumba wangu zamda umekua mgumu sana kwa kupingwa na wana familia wa pande zote, hii ni kutokana na wao kudai eti zamda ni mkubwa sana kwangu kutokana na umri...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Wadau nawasalimu, Kuna mdogo wangu ambae wakati naoa aliendesha kampeni ya kunitangaza vibaya kuwa naoa mwanamke mzee, alizunguzuka kwa ndugu na jamaa akisema maneno hayo, ni kweli mke wangu...
3 Reactions
168 Replies
18K Views
Msalheri wana Jamii. Wadada mambo vepee..? Leo nimebadili kiwanja. Nimeongeza level. Nimekuja hapa Rhapsody's. Tatizo nimekuja peke yangu. If y'all have noticed I like to roll solo. Kama kuna...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari Za Usiku Wana Mmu, Nna Imani Mko Vitandani Wengi Wenu, Niliianza Hii Tabia Baada Ya Kupata Kazi Kampuni Fulani, Mbeya Na Kufanikiwa Kujenga Nyumba, Kutokana Na Kuwa Pekeyangu, Nikampata...
3 Reactions
186 Replies
35K Views
Nilikua na mdada na mdate kwa miaka kadhaa sasa,ila mwaka juzi Mamake akawa hanitaki kwa kuwa Mimi hohehahe sina kitu,lakini baada ya kuambiwa na watoto[jamaa tu] kuwa Mimi ndio natoka na mwanae...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari wanaMMU, Ni takribani mwezi umepita toka niachane na mchepuko wangu ni hii yote imesababishwa na uaminifu wangu na kujali afya kwa kuhakikisha natumia kinga kila ninapokutana nae...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
wapendwa, niko chumani kwangu saa hizi na nahisi pumzi zinataka kukauka. nina mchanganyiko wa wasiwasi na matumaini, japo najiamini kwa hili ninalotarajia kulifanya, lakini tashwishi na...
26 Reactions
572 Replies
44K Views
Mapema mwezi uliopita nilikwenda Dar -Es-Salaam kwa masuala tofauti ktk ofisi moja ya Serikali,nilishangazwa sana na kilichonikuta.Niliingia ofisi hiyo na kumkuta dada mmoja baada ya kuruhusiwa na...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hivi wanawake tuna nini lakini, yaani wewe umeolewa na bado unamtafuta mume wa mwenzio na unalazimisha kumtumia meseji na asipo jibu unalalamika utadhani mumeo. Ukiulizwa si unamume wewe unasema...
10 Reactions
108 Replies
12K Views
Hivi kwa nini wanaume tegemezi kwa jina lingine mario wanapenda sana kulelewa? Halafu sasa kwa kuwa wanajua kabisa hapa ni kupiga kitonga wanakuwaga wajuzi kweli ya ku**mba au lugha nyingine...
5 Reactions
41 Replies
10K Views
Wanajamvi kwanza natanguliza heshima kwenu. Kilichonisukuma kuandika hapa ni kwamba kuna binti niliwahi kumtongoza miaka minne iliyopita kwa bahati mbaya alinikatalia. Lakini sasa hivi naona kila...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Salaam ndugu zangu wana JF. Kwa siku mbili sasa nimekua napitia changamoto ya kusimamisha mnara..Nipo kwenye mahusiano na binti kutoka mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini. Jumanne jioni...
7 Reactions
93 Replies
4K Views
Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife...
15 Reactions
50 Replies
5K Views
katika maisha yangu nimeona wasichana wengi ambao kimaisha wanajiheshimu either hawaolewi au wanachelewa kuolewa lakini wengi wahuni ninaowafahamu wengi wanaollewa why this?
0 Reactions
34 Replies
6K Views
TRUE STORY. Maisha hua yanatupa fundisho sana lakini hilo fundisho huwezi jua utalipata lini na wakati gani kwa muda gani. Back then wakati niko chuo mkoa X kuna baridi kinyama sana huko sasa...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi...
0 Reactions
14 Replies
667 Views
Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote...
6 Reactions
13 Replies
861 Views
Kheri ya kuzaliwa Binti Kimoso! Mungu akupe maisha mazuri yenye KHERI nyingi Sana katika mapito yako. Kwangu umekuwa Baraka Sana. Wewe ni Mama wa Watibeli. Watibeli wanajivunia kuwa na mama kama...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa. Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa...
11 Reactions
59 Replies
2K Views
Wadau nipeni ushauri,kutokana na performance yangu kwenye bed kuwa ya kiwango Cha CHINI sana nimeamua kuacha rasmi nyero, je mbinu Gani nyingine naweza kuitumia kuondoa upwiru? ( Ukiachana na...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Back
Top Bottom