Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KengeWaKijani, Jul 9, 2012.

 1. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wadau°°°°°°°°°°

  Im a 25yrs old mvulana, nina demu mpya ambae 2na mda wa miez miwili tu, nilmpata kupitia mitandao ya kijamii (FB)

  Baada ya kuwa karbu nae kupitia chating and open phone calls Ilifka ctage ya kuonana live, Na kabla ya kuonana 2likuwa 2shatongozana tayar na demu alikuwa amekubali.


  Ebwana 2lipokuja kuonana Demu alikuwa wa wastani sana japokuwa ni mrembo na anaxoma chuo kimoja hvi hapa dsm, 2lipeana ma-hugs then ikabak her turn kuja geto.


  Ctak ujue nilshakwenda nae mara ngapi but c chn ya mara3, demu kusema kwel amenogewa, na amenipenda sana tena kupita kias, Na mpaka sasa alishafka mpaka maskan kwe2 na mara kbao anaibukaga hata kama mimi cpo, watoto wa maskan anawaletea mizawad kbao c maanish pipi au big G Hapa but v2 vya gharama. Na watu wa maskan wamemkubal na wamemuzoea na wananishawish niweke ndani.

  Nimekuwa nikijarbu Kupunguza mawasliano lakn yeye ananisaka kama obama na Osama.

  Cku zngne namkatazaga had kuja maskan but unastukia alshatnga.

  Why namkataa?

  1.Umri wake nahs kama ananidanganya ni mkubwa xana.

  2.kabila lake cyo favourite kwangu cpend watu wa that tribe(ctetei ubaguzi lakin)

  3.Nina demu wangu mchumba yuko Mwanza ni msomi pia tena nampenda kupita kias, ni mrembo wa kabila langu, na ni miaka 7 leo tangu 2anze nae mahusiano ctaki kumuacha hata iweje, Na cku nikrud mwanza cjui itakuwaje mana nahs ataningundua kuwa nilimsaliti katka mapenzi.

  Ombi langu-

  Nifanyeje kumkwepa huyu m2? Je ni2pe laini? nimblock fb? je Akija nyumbani? halafu lile kabila ni balaa kwa Unga wa miti?

  WADAU NAOMBA USHAURI NATESEKA SANA PIA USINIELEWE VBAYA I'M A GUY WHO CARE CO FUNGUA FUNGUA ZIPU, NILISHNDWA NA TAMAA ZA MWILI NIKAONA NIEGESHE KWA MDA KUMBE MWENZANGU ANATAKA KUOLEWA.

  NDO KUSEMA CKU HZ HAKUNA KUTONGOZANA LAZMA MUOANE LOL!

  CTARUDIA WANDUNGU!
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Vitendo vyako na jina lako sawasawa.
  Mtajifunza lini? Usijaribu ku-beep kama humaanishi, ukipigiwa unaanza kulalama!
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kengewakijani.......haya kenge maji umeyavulia nguo.......Fikiri kabla ya kuamua
   
 4. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kaa naye then umbwambie kuwa umtaki na sababu kuu kuwa una mchumba mwz tatizo lipo wapi ila kama ulimdanganya utamuoa hapo shughuli ipo.
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Kama humtaki mwambie ukweli!

  Umenishangaza kwenye swala la kabila ila nimesha jua wewe ni kabila gani na huyo demu ni kabila gani!

  Sijakuelewa uliposema hupendi kufungua zip.

  Nafikiria jinsi huyo msichana ana vyoteseka kwa ajili yako na kwa sababu ulimdanganya na ndio maana unashindwa kupata njia ya kumuacha:
   
 6. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  jamaa anataka kumuacha kisanii ndo maana hajui afanyeje, mimi pia ishanikumba iyo na mademu wa fesibuku
   
 7. isabella

  isabella Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta jinsi ya kumwambia aelewe ILA SIKU NYINGINE USIJARIBU KABISA KUCHEZA NA MOYO WA MTU.kama ulijua hayo yote ya kabila lake, umri wake na kwamba una mtu mwingine kwa nini uliendelea naye mpaka mkapelekana si chini ya mara tatu.whyyyyyyy??????????

  .............................What goes arround comes around, na wewe utafanyiwa hivyo hivyo ulivyomfanyia mwenzio............
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,693
  Trophy Points: 280
  ulipokua unamtongoza ulimwambia nini?
  matokeo ya ulichomuambia ndio, hatma yake ndio waiona sasa.
  ila bado nashindwa kuelewa kwa nini unatokea msichana ilihali una mwingine, na mwingine na mwingine dah mtandao mrefu huo.
   
 9. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bro poa but ungenishaur ungejenga zaidi now unadbomoa
   
 10. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka nishaur, wabongo mkoje jameni?
   
 11. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Of coz kama nilshamwambiaga but kama swaga ya kumteka ckumanisha, Kwan yeye hana mtu bwana mpaka alipo? NIPEN MODALITY
   
 12. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusema ukwel napo kaz huyu atakunywa sumu
   
 13. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha mi kabila gan for example? kwa hyo nifanyeje?
   
 14. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Co kisanii hata upendo cna kwake so what can i do?
   
 15. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Pu.....vu zako...
   
 16. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukwel mkuu but c unajua ukame kaka, Nilikuwa na miez 7 u cant imagine.
   
 17. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tulizana.
   
 18. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  demu ni mmachame nini? kuangalia kabila siyo issue labda kama ni sababu nyingine
   
 19. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wewe ni mwaminifu Chukua jiwe niponde.......But ukwel wako unaujua wewe, me nimekuwa open, but kla mmoja ana masibu yake na 2kiyaweka waz weng 2taibika but frankly speaking Nina demu mmoja na huyu Mpya wa miez miwil bada ya shetan kuniteka.
   
 20. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaushia bro! toa mbinu za kumkwepa.
   
Loading...