kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,671
Inashangaza kuna wanawake wa zama hizi za digitale bado wana swaga hizi za kumzungusha mwanaume kwa mda mrefu before hajamkubalia, mnataka kuvumbua nini haswa? Unadhani ukimzungusha mwanaume kwa miezi 6 ndo utaonekana wa maana sana?
Jibu ni NO, wanaume wengi miaka hii tuko bize kutafuta pesa, hatuhitaji mtu wa kutusumbua akili wakati maisha yenyewe yanatusumbua kwa stress nyingi, kama mwanamme umempenda jibu YES, kama hujampenda mpotezee, kusumbuana akili ndo nini, unadhan ndo itakuongezea credit?
Najitumia mimi mwenyewe kama mfano, kuna mwanamke nilimtongoza kwa miezi minne bila mafanikio, yaani alikuwa sitaki nataka ndo maana nilikuwa nashindwa kugive-up, ukimwambia twende out anakubali, hela anakuomba, ukimwambia nipe jibu langu haeleweki, mara oh napenda tuendelee kuwa normal friends, ukimuuliza au una mtu mwingine anakujibu hana.
Sasa ikatokea nimekutana na mwanamke mwingine nikampenda nikaomba mawasiliano yake, ndani ya siku 2 akawa amenipa jibu la kueleweka 'ametick', baada ya wiki akanipa mzigo, ingawa ilikuwa mapema ila still nimempenda kweli na ndo nipo kwenye mahusiano naye kwa sasa.
Baada ya kuwa na mpenzi huyu wa sasa nikawa nimempotezea yule anayenizungusha, sikumoja akanipigia anasema nimechange sana na lawama kibao, nikamwambia ukweli kwamba tatizo lako wewe hueleweki, basi sikuhizi adhabu imerudi kwake yeye ndo ananitafuta,
Yaani ni kama yeye ndo ananitongoza kwa sasa. So mwanamke wa namna hii umfanyeje zaidi ya kumu'hit' n 'run'?Je, faida ya yeye kunizungusha ni nini ? Wanawake badilikeni aisee lasivyo mtaendelea kulia kilasiku kuchezewa kwa ujinga wenu.
Huo msemo wa Fid Q "Nisumbuesumbue usinikubali haraka" wengine unawaponza