Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana Jf Kuna rafiki angu ana demu wake mwenye miaka 25. Hivi majuzi jamaa kaja kuniomba ushauri. Mwaka jana alimpa mimba huyo binti na ilitokana na uzembe wa binti mwenyewe kutojua kalenda...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
UNATAKA ULIMWENGU UKUPENDE KWANI UNATAKA KUUBEBEA MIMBA? Umeingia kwenye ndoa na mwanaume unayempenda nayeye anakupenda na anakuonyesha mapenzi yote. Lakini hupatani na Mama yake, bila sababu...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumai sote wazima, Mawazo yenu jamani naomba. Rafiki yangu katongoza msichana yaani mtu mzima kidogo basi wakapanga siku ya mechi, siku ilipofika wapo nyumba ya wageni katika kusaluana na...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Napenda kuwapa mkasa uliotokea masihani mwangu kwa kweli kuna watu wanakutana na mambo ya ajabu sana katika uhai wao... Nimemaliza chuo uhasibu(TIA) Bachelor of accountancy mwaka Jana....Nina...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na...
12 Reactions
154 Replies
18K Views
Habarini wana Jamvi Kama mnavyojua tangu utawala wa awamu hii uingie madarakani umebana Sana hela na madili hakuna Hali hii imepelekea nikose hela za kuhonga hivyo kuachana na mademu zangu Kama...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
lara 1 naona umepoa hivo wacha niokoteze story nisisimue kijiwe kama zamani. Ila mie ntaeka kizungu ili tuanze kuijua lugha ya biashara kwa ufasaha tusiwe tunatoa mimacho tukipenda wa mataifa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana...
3 Reactions
168 Replies
8K Views
Wadau, Kuna jamaa yangu analalamika kwamba analazishwa kazi za ndani na mke wake. Ishu iko hivi, Jamaa anapenda sana kumsaidia sana mkewe kazi za ndani kama kufua kupika, kuogesha watoto, kufanya...
8 Reactions
120 Replies
17K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Hii sio story ni mambo ambayo yanaendelea katika nyumba yangu kwa kweli niliowa kwa leo kwa kutegemea kuna vitu nitavikuta katika ndoa lkn imekuwa ni kinyume...
6 Reactions
140 Replies
11K Views
Hello ladies. kama tittle inavyosema, kama ww ni mwanamke ambae umevunjwa moyo wako katika mahusiano ama umekua depressed kutokana na mitihani ya kimaisha, nina habari njema kwako. Nipo hapa kwa...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Kigoma na mpenzi yuko Dar, kusema kweli namkubali huyu mtoto toka tuko chuoni kwa tabia zake tu. Ni msichana mpole mkarimu na mshika dini sana. Nilimuacha chuo na nilipomaliza tu nikapata...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu na Marafiki wote. Happy New Year. Recently interviews zimepoa sana hapa jukwaani... Hii mambo alikuwa anaifanya sana lara 1, akaja Uran then nikapokea kijiti... Valentina na yeye akawa...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Sex is not all about making children. You must be a different woman to your husband every time. Seduce your husband, don't always allow your husband to ask for Sex, there must be no timetable for...
13 Reactions
47 Replies
5K Views
Natamani sana niwe furaha ya Mume wangu,amani yake pamoja na msaada wake pale anapohitaji....Mungu aniwezeshe kufanya hayo.....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuuu! kuna hili jambo mimi naona kama watu wanataka kiniibia akili hapa! hivi wewe kidume cha seed na akili zako za mapenzi bado unamtafuta msichana bikra ukiwa na imani yako ya kizamani...
7 Reactions
95 Replies
13K Views
Wadau habari za jioni. Kuna binti ananiambia ananipenda. Nimemgaramikia vitu ikiwemo kumnunulia simu ya iPhone 6+ million moja na nusu lakini kila nkimgusia swala la kuja kwangu anakubali then...
0 Reactions
91 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…