M memez Senior Member Jan 8, 2017 167 118 Apr 7, 2017 #1 Natamani sana niwe furaha ya Mume wangu,amani yake pamoja na msaada wake pale anapohitaji....Mungu aniwezeshe kufanya hayo.....
Natamani sana niwe furaha ya Mume wangu,amani yake pamoja na msaada wake pale anapohitaji....Mungu aniwezeshe kufanya hayo.....
No Escape JF-Expert Member Mar 7, 2016 6,663 7,774 Apr 7, 2017 #3 Wachache sana wa aina yako! Mungu akujaalie...
M memez Senior Member Jan 8, 2017 167 118 Apr 9, 2017 Thread starter #8 Shunie said: hivi bado haujapataga tu Click to expand... teyari