jacksonEstate
Member
- Apr 1, 2017
- 58
- 52
Natumai sote wazima,
Mawazo yenu jamani naomba.
Rafiki yangu katongoza msichana yaani mtu mzima kidogo basi wakapanga siku ya mechi, siku ilipofika wapo nyumba ya wageni katika kusaluana na kupasana anti ana sasambua za kutosha hamadi jamaa kutupa jicho vizuri moja kati ya sasambu ina hirizi mbili moja nyeupe ya pili nyekundu.
Jamaa alisisimka, hamu ikaisha kabisa ikabidi azuge anaenda dukani kununua vocha alipotoka ndio kimoja hakurudi, alifika kwangu akiwa na bukta, kaushi na ndala za gesti basi nikamsitiri kwa ile siku.
Msichana mpaka Leo anamsumbua jamaa kimapenzi aende au ampotezee kabisa?