Kupata mwanamke bikra sio kila kitu

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,869
9,551
wakuuu!
kuna hili jambo mimi naona kama watu wanataka kiniibia akili hapa!
hivi wewe kidume cha seed na akili zako za mapenzi bado unamtafuta msichana bikra
ukiwa na imani yako ya kizamani ukimtoa bikra hawezi kukuacha
Aaaah! kwanza kama kidume iyo ni dalili ya kukosa confidence!
wewe toa bikra yako upo geto na demu unavuja jasho beseni
lakini kama ubunifu wa mapenzi ukiisha mafisi wenye PhD na experience zao watamchukua tu!
eventually atakusahau kama wewe ndio mtoa bikra tukufu!
labda na wadada wa MMU nao walete uzoefu wao juu ya hili jambo


wakuuu!
 
Mhhh!!! Bwana ila bikra za ukubwani huwa wanajiheshimu kabisa kwa kweli
 
Back
Top Bottom