Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Hello ladies.
kama tittle inavyosema, kama ww ni mwanamke ambae umevunjwa moyo wako katika mahusiano ama umekua depressed kutokana na mitihani ya kimaisha, nina habari njema kwako.
Nipo hapa kwa ajili ya kukusaidia, kukupa ushauri na pia kukufariji kwani naamini nina uwezo mzuri katika saikolojia hasa ya wanawake. Pia najua wengi wenu mtadhani nafanya hivi kwa ajili ya maybe "ku take advantage kwenu" ila sio kweli. Mimi ni professional katika kazi yangu, I`m just here to help. nawashauri muje inbox kwani si vyema kuanika stori zenu public na nawaahidi sitazitoa. (privacy is my number 1 priority as a psychologist). Pia sitaki kujua real information zenu (tumieni majina feki) wala msinipe namba zenu za simu. kila kitu kitafanywa humu humu jf.
kwa nini nafanya hili jambo?
zipo sababu nyingi, ila moja wapo ni kwamba nawa heshimu sana wanawake na nawapenda sana, utafiti umenionesha kuwa wanawake wengi wanakua depressed siku hizi, hivyo mie kama msamaria mwema nimejitolea katika kuwasaidia katika hili kwani nimegundua wengi wao hushindwa kuomba msaada na ushauri kuhofia watu kujua habari zao.
this is free, sihitaji malipo ya aina yoyote.