jacksonEstate
Member
- Apr 1, 2017
- 58
- 52
Napenda kuwapa mkasa uliotokea masihani mwangu kwa kweli kuna watu wanakutana na mambo ya ajabu sana katika uhai wao...
Nimemaliza chuo uhasibu(TIA) Bachelor of accountancy mwaka Jana....Nina mchumba naishi nae na Nina mtoto mmoja...kipindi nipo 3 nilikuwa napenda kusoma sana usiku yaani kukesha.....kuna place huwa naenda kujisomea...
Siku moja nikiwa nimelala baada ya kusoma mida ya saa 9 usiku niliota ndoto ya ajabu sana.....Kuna MTU mrefu amevaa nguo nyeupe amekuja na kuanza kunikaba sana ilia Mimi nilijitahidi sana akaniachia...
Kesho asubuhii nilikuwa sana malaria lakini nilipona....nilipona waambia wazazi wakasema ni jini nimekutana nalo.....ila sikutilia sana maanani...
Tangia hapo nikawa naota napaa angani,nafanya mapenzi na wanawake wazuri kabisa.....nikiwa napata pesa kiajabu ajabu tuu...
Mwaka huu nikaona mambo magumu sana nikaenda kwa mtaalamu wa jadi kuangalia tatizo nini.....babu akasema Nina JINI MAHABA sikuamini kabisa.....alinipa dawa halikutoka....Nikaenda kwa wa mtaalamu wa pili akasema Nina JINI MAHABA sasa nikaamza kuogopa.
Akasema atawatotoa kama yupo mmoja au wengi.....akaniambia najua huamini kama unao ila j tano nitamuita huyo JINI na utaamini.....basi ilipofika siku nikaenda peke yangu bila familia kujua ili nithibitishe.......Dua ikaanza jamani achenii tuu...nitamalizia.