Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
.
Mbona kama huo utafiti wako haujakamilika??
BTW hii battle haiwezi kuisha leo kwa sababu kila Jinsi itavutia kwake
Tafiti au maoni??
Asante kwa kusema ukweli mkuuUtandawazi umechangia sana siyo kuharibu mambo bali kurahisisha mambo....
Zama hizo wanawake walikuwa mpaka wasubirie kutongozwa, kumfuata mwanaume face to face ilikuwa ngumu...
Zama hizi asipokuweza ana kwa ana, atakutafuta kwa simu... Atakuambia kila kitu...
Wanaume zama hizo walikuwa wanaonekana wachepukaji wakubwa kwa sababu wao ndiyo walikuwa the only source of income... Lakini sasa hivi wanawake pia ni watafutaji... Nikimanisha huwezi kuchepuka bila kuwa na pesa...
Mtu atakukataa wewe kwa kuwa ni mume/mke wa mtu lakini kamwe hawezi kataa huduma au pesa zako.. Pale ndiyo michepuko huzalishwa...
Kuchepuka ni tamaa na hulka ya mtu, na pia kipato kinachangia...
Cc: mahondaw... Get well soon my love mahondaw
umenena point hapo mkuu.Utandawazi umechangia sana siyo kuharibu mambo bali kurahisisha mambo....
Zama hizo wanawake walikuwa mpaka wasubirie kutongozwa, kumfuata mwanaume face to face ilikuwa ngumu...
Zama hizi asipokuweza ana kwa ana, atakutafuta kwa simu... Atakuambia kila kitu...
Wanaume zama hizo walikuwa wanaonekana wachepukaji wakubwa kwa sababu wao ndiyo walikuwa the only source of income... Lakini sasa hivi wanawake pia ni watafutaji... Nikimanisha huwezi kuchepuka bila kuwa na pesa...
Mtu atakukataa wewe kwa kuwa ni mume/mke wa mtu lakini kamwe hawezi kataa huduma au pesa zako.. Pale ndiyo michepuko huzalishwa...
Kuchepuka ni tamaa na hulka ya mtu, na pia kipato kinachangia...
Cc: mahondaw... Get well soon my love mahondaw
Aisee uko deep sanaMen Are More Likely Than Women to Be Unfaithful
Similar to thoughts about sex and number of sex partners, men self-report more unfaithfulness than women (see Blow & Hartnett, 2005; Fincham & May, 2017; Petersen & Hyde, 2010). However, as Fincham and May (2017) state, the difference between men and women in the incidence of infidelity seems to be narrowing, and men and women under 40 are reporting similar rates of infidelity. Petersen and Hyde (2010) also show that the gender difference in engaging in extramarital sex is narrowing. Although men may report a stronger desire for affairs, this desire may not necessarily translate into a behavioral difference between the sexes (see Blow & Hartnett, 2005). When considering gay men and lesbians, there is some evidence that lesbians are less likely to be unfaithful than gay men (see Blow & Hartnett, 2005). So are men more likely than women to be unfaithful? This sexual stereotype may be supported at present. At present, men seem more likely than women to be unfaithful; however, for better or worse, this gender difference is quickly shifting to gender parity.
Utandawazi umechangia sana siyo kuharibu mambo bali kurahisisha mambo....
Zama hizo wanawake walikuwa mpaka wasubirie kutongozwa, kumfuata mwanaume face to face ilikuwa ngumu...
Zama hizi asipokuweza ana kwa ana, atakutafuta kwa simu... Atakuambia kila kitu
Kuchepuka ni tamaa na hulka ya mtu, na pia kipato kinachangia...
Cc: mahondaw... Get well soon my love mahondaw