Exclusive Interview Proposal!!

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
18,394
16,391
Wakuu na Marafiki wote.
Happy New Year.
Recently interviews zimepoa sana hapa jukwaani...
Hii mambo alikuwa anaifanya sana lara 1, akaja Uran then nikapokea kijiti...
Valentina na yeye akawa anafanya kwa nafasi yake!!

Naomba upendekeze member ambaye ungependa tufanye nae interview.
Ambaye keshafanya usimtaje tena.

Karibuni
 
Hii itabidi ifanyike kiserikali zaidi mkuu.

Inaweza kufanyika namna hiyo, nakumbuka Prof Tibaibana Baijuka aliwahi kufanya interview JF na ilienda vizuri tu, wanachama wa huu mtandao tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa viongozi wa serikali na wao pia nina uhakika wanaweza kupata chochote cha kujifunza kutoka kwetu katika kulisukuma hili gurudumu Tanzania kwenye Taifa la Viwanda.
 
Sawa mkuu!
Nakumbuka hata Zitto aliwahi hojiwa pia.
 
Dr W P Slaa yupo humu pia kama active member... mtafute kama vipi. Afu yule mzee siyo mtu wa kujikweza anasikiliza kila mmoja.
 
dah bongo noma sana mnataka muamshe tena mizimu ya vyeti feki au maswala ya kusoma kwa majina ya watu!jaman yashapita na waliopona wamepona!,pia mnafufua masakata kama mait saba,madawa yakulevya,ishu ya ben saa8!,akija hapatatosha!
 
Kwanzia 2012-2014 jf ilikuwa na mambo mengi sana.

Majukwaa ya MMU na CC ndo yalikuwa break ya kwanza baada ya kulog in.

Ilikuwa kila siku lazima ukutane na mada kali kama vile interviews.....Ban nazo hazikuwa mbali.

Lakini kwanzia 2015 mambo yalibadilika........uchaguzi mkuu ulibadilisha uelekeo wa mambo....watu wakawa wanashinda jukwaa la siasa.....kurudi humu wamekuja na story za mke wangu..., kwanini wanawake wana....... wa mikoani na wa Dar..... na story za puchu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom