Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,275
- 70,676
Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii
Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii
Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,