expirience man
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 220
- 115
Nipo Kigoma na mpenzi yuko Dar, kusema kweli namkubali huyu mtoto toka tuko chuoni kwa tabia zake tu. Ni msichana mpole mkarimu na mshika dini sana. Nilimuacha chuo na nilipomaliza tu nikapata kazi Kigoma.
Sasa mtihani unakuja baada ya kufika kazini, nina miaka miwili tangu nimeanza kazi nikiwa mbali na mpenzi. Nakaza moyo sana tena ukizingatia nina kanafasi kidogo ndo daaah usiseme. Nimekua napokea wafanya kazi wapya na wanaokuja kutoka serikalini kutusaidia kwa muda then wanaondoka. Kumbuka nafanya shirika la kimataifa.
Napata wakati mgumu sana natamani kuwa na mwenza karibu lakini maisha ya kazi ndo kama hivyo nifanyeje sasa lakini navumilia mitihani mingi sana kazini.