Wadau habari za jioni.
Kuna binti ananiambia ananipenda. Nimemgaramikia vitu ikiwemo kumnunulia simu ya iPhone 6+ million moja na nusu lakini kila nkimgusia swala la kuja kwangu anakubali then ananitafuta baadae kuwa anaumwa.
Hii imekaaje? Hajawah kunipa penzi amekaa kiuchunaji tu. Wewe mwenzangu ungemchukulia hatua gani?
Ushauri please. Natanguliza heshima matusi na michambo hayajengi