Hivi hili linawezekana!

Ukiwa tight na kazi huwezi waza chupi kabisa...Mi nimewahi kuwa katika kazi ilio very demanding. Concetration mia kwa mia unatakiwa ufikie target kila siku within 10 hours. Huo uchovu wake ukitoka hapo mwanamke unamtamani saa ngapi? Na nilikuwa Mbeya baridi balaa!!!
 
Labda kama ofisi unayofanyia kazi hakuna wanawake vinginevyo hujaelewa uzi.
 
Back
Top Bottom