kinehe
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 205
- 198
Habari wana jamvi,
Zimepita kama siku 3 au 4 kuna mwana jamvi mmoja alileta uzi unaoonesha majibu ya mwanamke anaekupenda na asiekupenda kwa mfano kama ukimtumia pesa au vocha.
Kwa upande wangu ninaye ambae ana kijitabia kimoja wapo (mfano ukimtumia vocha au hela anaweza asijibu kama kapata/atakuja ajibu baada ya masaa hata 3) ila tupo tunaishi siku ziende.
Sasa juzi nilimtumia vocha kwa ajili ya bando ilkuwa saa 6 kaja kujibu kama kapata saa 9. Nikamchana mbona unachelewa kujibu coz mimi inanilazmu niendelee kubaki na kikaratasi cha vocha muda mrefu. Sasa toka hiyo saa 9 kila nikiingia online naona bado hajaingia, hadi ikafika saa nne usiku bado nikaona nijaribu kuingiza hiyo vocha IKAKUBALI kuingia, kmbe alkuwa hajaiweka.
Kesho yake alipokuja akauliza ile karatasi ya vocha iko wap nikamwmbia nilitupa akaanza ohh nilikuwa sjawek nikajibu tu kuwa nimeweka ili nisimind, kimoyo moyo nikasema hili nimetibu siku nyingine atakuwa active.