Hivi kuna madhara yeyote kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Naomba kujua kama kuna madhara yeyote kumwambia mtu anaekupenda sana kua hujskii wala huinjoi kuwa nae maana kuna mtu ananpenda sana ila mm smpend hata kidogo anataka tuoane mimi moyo wng hauko kwako japo hua naprent na anajua smpend sasa nataka nimwambie kua sisikii ham ya kuwa nae na kua simpendi, kabla ya hilo naomben ushauri wakuu wangu.
 
Mwambie ukweli usiendelee kumpotezea muda,japo itamuathiri kwa kipindi fulani
 
Naomba kujua kama kuna madhara yeyote kumwambia mtu anaekupenda sana kua hujskii wala huinjoi kuwa nae maana kuna mtu ananpenda sana ila mm smpend hata kidogo anataka tuoane mimi moyo wng hauko kwako japo hua naprent na anajua smpend sasa nataka nimwambie kua sisikii ham ya kuwa nae na kua simpendi, kabla ya hilo naomben ushauri wakuu wangu.
 
Hakuna madhara iwapo kama na yeye alikua hakupendi ila anaogopa kukuambia... Lkn kama yeye alikupenda sanaaaa itamchukua mda sana kukusahau
 
Kwenye ndoa kuna kipindi mume au mke hana hamu kabisa na mwenzake anaona kero tuu (najua ujaoa). Katika kipindi hicho unapaswa kumuonesha matendo ya upendo na kumpa anacho taka (timiza majukumu) kisha upendo utarudi.
 
Back
Top Bottom