Msaada: Hoteli za gharama nafuu Msasani/Masaki?

nasssen

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
483
508
Habari za asubuhi wanajamvi wa MMU,

Naombeni msaada wenu wa dhati kupata hoteli ya gharama nafuu kidogo sehemu za msasani au masaki.

Leo ninataraji kuwa na outing na ningependa kufanya kitu kizuri kidogo japokuwa hali ni ngumu kidogo.

Kwahiyo naombeni msaada wa hoteli ambazo ni cheap kidogo lakin zina huduma nzuri na ni safi pia.

Ahsanteni sana.
 
Tinga Double Tree hapo hadi $110 unapata chumba na wifi juu yake na breakfast ya nguvu. Maana ujasema nafuu ni kiasi gani hasa
 
Masaki kuna Sea Cliff, Double Tree, Golden Tulip, Best Western.....hamna ya bei rahisi hapo. Labda Kinondoni.
 
una shs ngapi kwa ajili ya malazi na unataka kukaa siku Ngapi? funguka usaidiwe
 
30,000 Nenda Rombo Gr Vw,Shekilango.Rd
Kwa nje kuna mitungi na michesho kila Design
Whabheja kulumba
 
Back
Top Bottom