O Ototo JF-Expert Member Jun 26, 2016 1,232 1,131 Apr 13, 2017 #1 *Kama utaona kwenye profile yangu nmeandika niko dubai na baada ya muda ukakutana na mm,basi tambua na ww uko dubai,tusifanye mambo kuwa magumu*
*Kama utaona kwenye profile yangu nmeandika niko dubai na baada ya muda ukakutana na mm,basi tambua na ww uko dubai,tusifanye mambo kuwa magumu*
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,495 70,610 Apr 13, 2017 #4 Duuh hii ingepelekwa kwenye jukwaa la jokes ingefaa zaidi
D Dvd9 New Member Apr 13, 2017 2 0 Apr 13, 2017 #5 Joseverest said: Duuh hii ingepelekwa kwenye jukwaa la jokes ingefaa zaidi Click to expand... ni kweli ipelekwe kwenye jokes
Joseverest said: Duuh hii ingepelekwa kwenye jukwaa la jokes ingefaa zaidi Click to expand... ni kweli ipelekwe kwenye jokes
Fake P JF-Expert Member Jan 3, 2017 3,521 10,581 Apr 13, 2017 #6 hahahaha daah kweli tusifanye maisha kuwa magumu , yani ni sawa na kusema gawanya kwa mbili tu