Kama Wazazi:Kufanya haya ni sawa?

Kama Wazazi:Kufanya haya ni sawa?

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,094
Reaction score
15,215
Salamu kwenu wana bodi.
Hili jambo limemkuta kijana wa rafiki yetu,nikiwa kama rafiki wa baba yake akaona vyema aje kutoa dukudukdu lake kwangu.

Kwa kifupi huwa sina muda na masuala ya familia za watu.....Lakini kama mzazi nikam counsel manake nilimuona yuko frustrated sana.

Kwao wamezaliwa watoto kadhaa,baba yao alikwenda kwenye mkutano wa maendeleo na akaamua kutoa ahadi ya kusaidia jambo fulani la maendeleo, kisha akaamua kuomba msaada kwa wanawe kiwango sawa kila mmoja sh.laki moja(100,000), bila kujali kuwa wanae wametofautiana sana ki uwezo.

Je? Huyu mzazi jambo alilofanya ni sawa?
Hebu tiririka kama ni wewe ungemshauri vipi kijana huyu.?
 
Hao watoto si ni watu wazima wanayajua maisha? Hata huyo ambaye unaona hana uwezo ombi la baba yake litamfanya akili icheze atachakarika tu. Sometimes wazazi tunawaharibu watoto wetu kwa kuwaonea huruma.
 
Back
Top Bottom