Huyu mdada vip?

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
659
857
Habari JF
Kuna demu mmoja nilkua nachati nae as a friend tuu hatujawahi kua na mahusiano ya mapenzi

Sasa juzi nikamtmia picha ya WiFi yake whatsap daaah skuamini alini kasirikia hatari na ameniblock whatsap,insta na Fb nikimtmia message ajibu nikatmia namba mpya nikampgia cm akamuambia mbona umeniblock kwe social network zote akanambia sikutegemea akakata cm
Mwenzake akanambia umemfanya nini J nikamuambia sijamfanya chochote akasema mbona mda wote analia na anataja tuu jina lako? Nkamuambia mm sijamfanya kitu akasema poa sasa najiiza ni kwa nini? Anafanya haya yote?
Wanawake bwna ni ngumu sana kuwaelewa
Je mm nimueleweje huyu mdada?
 
Shukuru amejitumbua mwenyewe.Alikuomba hiyo picha au uliamua kumtumia ili kujilinda.?
 
Wanawake hawasomeki na wao wenyewe hawajisomi..Ila mkuu ungemmega kidogo yasingefika huku kote.
 
kwa maelezo yako inaonekana kuna mliyopitia nje na kuchati.. hebu funguka mkuu tukupe ushauri uliyoenda shule..!!!
 
You idiot! Dont challenge a woman by using another woman as a 'human shield'... Face her like a man, independently without using another woman, being it your mother, sister or girlfriend... That is the sign of immaturity and incompetence...
 
God damn!!!calm down don't came and startin provoke like that
 
Back
Top Bottom