Wanaume kiumbe kilichokuwa adimu kinaelekea kutoweka

queen of the jungle

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
228
429
Habari za asubuhi Kuna Jambo linakera saana kutoka kwa wanaume wa siku hizi wamekuwa ni watu wasiojiongeza hata kidogo, Kuna mkaka alikuwa ananitaka kimapenzi ana kazi kubwa tuu ya kuheshimika sasa amekuwa ni mtu wa kupenda kubebwa kila ofa nimtoe, hajiongezi yaani yupo kama chuma ulete sijui ni ubahili au kutokujiongeza kiukweli naona kiumbe hiki adimu kinazidi kutoweka siku hadi siku Kuna haja ya serikali kukiweka makumbusho ya taifa, nakumbuka zamani mzazi akipata mtoto wa kiume anasema nimepata mkombozi, mrithi, jembe lkn siku hizi ni tofauti kabisaa wanaume wamekuwa wa mizinga, kupenda kulelewa mi nikikuona tuu najua Kuna hasara kichwani na huwezi kuiendesha familia kama baba
 
Kimsingi simuungi mkono huyo jamaa wala wewe.
Ninachofahamu ni kuwa baadhi ya wanaume huwa na mtihani ambayo huwapa wapenzi wao wapya ili kujua kama anakizi vigezo au la.
Kwa upande wangu wangu zamani nilikuwa nawapa ITALIAN TEST.
yani,namchukua mwanamke na namfungulia mlango wa gali,siti ya mbele kabisa kisha namfungia kabisa na mlango huku mlango wangu pia ukiwa umefungwa.
Sasa wakati nazanguka gari na kwenda upande wangu(upande wa dereva) basi huwa naangalia kama mwanamke atanifungulia mlango ili niingie au la kwa sababu kwa muda huo mwanamke anakuwa ndani ya gari.
Kama akinifungulia basi huyo demu nachukua na kama asipofungua ntamueleza ukweli na kumuacha hapo hapo.
So inawezekana jamaa labda anamitihani yake kwako.
 
Habari za asubuhi Kuna Jambo linakera saana kutoka kwa wanaume wa siku hizi wamekuwa ni watu wasiojiongeza hata kidogo, Kuna mkaka alikuwa ananitaka kimapenzi ana kazi kubwa tuu ya kuheshimika sasa amekuwa ni mtu wa kupenda kubebwa kila ofa nimtoe, hajiongezi yaani yupo kama chuma ulete sijui ni ubahili au kutokujiongeza kiukweli naona kiumbe hiki adimu kinazidi kutoweka siku hadi siku Kuna haja ya serikali kukiweka makumbusho ya taifa, nakumbuka zamani mzazi akipata mtoto wa kiume anasema nimepata mkombozi, mrithi, jembe lkn siku hizi ni tofauti kabisaa wanaume wamekuwa wa mizinga, kupenda kulelewa mi nikikuona tuu najua Kuna hasara kichwani na huwezi kuiendesha familia kama baba
Aaaa wote au?
 
Unapimwa hatuchukuagi wanawake ambao ukiumwa tu madeni yanaanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom