Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,052
Am alleged na ngozi nyeupeNenda huko huko wanakotoka walioimba
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tz hujatutafuta vizuri.
Wapo weusi pia kama kina Kanye West, ila hapa hapa bongo labda uwe mjukuu wa Mtume mizimu ikuchekee.Am alleged na ngozi nyeupe
HHahHhHHWapo weusi pia kama kina Kanye West, ila hapa hapa bongo labda uwe mjukuu wa Mtume mizimu ikuchekee.
Haaa kitukuu cha mtumeWapo weusi pia kama kina Kanye West, ila hapa hapa bongo labda uwe mjukuu wa Mtume mizimu ikuchekee.
Team popo hv mapenzi ya hivi Africa yapo? Kama yapo ni nchi gani niwahi maana tz hakuna
Enrique Iglesias - Hero
Najua ndugu ndo mana nikeshindwa nataka kukimbiaHeheh hayo mapenzi likely anapewa boss Mengi, Mo Dewji ama Bhakressa. Kwani we hujui kuwa mapenzi ni biashara Tanzania?
Hahahaha, kashindwakwani ndugu yangu joseph kashindwa kazi?
Nawashangaa wanaosema yapoHamna kabisa
Mmh, sasa ntakutana nae lini uzee unakaribiaItakua hamjakutana