muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,039
- 1,453
Kwa wiki nzima nimekuwa nikifuatiliza mada za humu ndani. Nimekuta kwamba house girl wengi wamekuwa sehemu ya kujifunzia mapenzi kwa watoto wa mama, jirani, ndugu wa karibu, n.k. Mabeki tatu wamefundisha vijana wengi mapenzi. Vijana wengi baada ya kubalehe katika harakati ya kuonja penzi housegirls wengi wamekuwa wahanga wa kujifunzia mechi hizi. Wengi wamekwenda mbali zaidi ya kuwakumbuka kwa machango wao hata baada ya kuoa na kuwa watu wazima.
Mbaya zaidi kuna wengine beki tatu ndo wamekuwa tulizo kwa mapenzi kwa baba wenye nyumba. Wengine wamekwenda mbali zaidi na kuwapangisha nyumba na kuwafanya wakwe wenza for life sababu ya mahaba. Wengine wamesifia kupewa mapenzi/mahaba ya hali ya juu ukilingananisha na wapenzi/wake zao.
Wengine wamesifia uvumilivu na huruma waliyonayo katika kulelea familia zao
Pongezi ziwarudie mabeki tatu popote mlipo