Dreamcheaser
Member
- Feb 28, 2017
- 15
- 20
Kama heading ilivyo hapo juu kwa muda mrefu nilikuwa na uhusiano binti flani kiukweli alinipenda sana (nisiwe mnafiki kwa hili ) sababu hakuwa na tabia za wanawake wa cku hizi kama kuomba hela na mengine tatizo lake kubwa anataka aolewe na me wakati me sina hata mfano wa wazo la kuoa sababu im still young kiukweli.Mwanzoni nilichukulia simple nikajua ni utani ila mwisho wa siku kakaza ndipo nilipoamua kutoa ya moyoni kwa mba sipo tayari na siwezi kumuoa alijua ni utani ila niliongea naye kwa kirefu mwishoni akanielewe japo kwa mbinde sana nilijisikia vibaya sana ila i had no choice sasa hivi niko huru nilitamani siku hizi zifike.But very sorry for her