Abraham Tuesday
Member
- Mar 3, 2017
- 6
- 9
Usimtendee mwenzako usichopenda kutendewa
Mkuu.....Usimtendee mwenzako usichopenda kutendewa
Ukisikia Yalaaaaah ujue mtu kapigwa, pole ndo Dunia na wewe tafuta kwa kulipiza.
Usimtendee mwenzako usichopenda kutendewa
Umetoka kutendwa sio kwa uzi wa haina hii.
Sasa usikuwote huu, Uzi kama huu usiokuwa na mwisho maana yake nini kama sio anaugulia huko.
Mileta uzi anahitaji faraja tu, kutoka kwa jinsia pendwa....Sasa usikuwote huu, Uzi kama huu usiokuwa na mwisho maana yake nini kama sio anaugulia huko.
Hahahaaaaaa, ndo twamfariji kama hivi, ushaambiwa na wewe tafuta mnyonge............., kulialia kumepitwa na wakati.Mileta uzi anahitaji faraja tu, kutoka kwa jinsia pendwa....