umerogwa wewe
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 417
- 566
Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.
Alikuwa anapita maeneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za simu, sikukawia nikatangaza shida zangu.
Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.
Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.
Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.
Ni hayo tu....